RITA inapenda kuutaarifu Umma kwamba kuna taarifa inasambazwa katika mitandao ya kijamii ikitoa taarifa potofu kuhusu zoezi linaloendelea la uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa na vifo kwa wanafunzi wanaoomba mikopo ya masomo ya elimu ya juu kwa mwaka 2017/2018
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) unawakumbusha waombaji wote wa Mikopo ya Elimu ya Juu kuhakiki vyeti vya kuzaliwa na vifo katika ofisi za wilaya zilizotoa vyeti hivyo au RITA Makao Makuu...
Mwezi Septemba 2017, RITA inategemea kuanza utekelezaji wa Mpango wa Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa katika halmashauri zote sita (6) za Mkoa wa Lindi na Halmashauri tisa (9) za Mkoa wa Mtwara ...