Swahili   |   English
Image caption.
Image subcaption.
Mkakati wa Usajili wa Watoto walio na Umri kati ya Miaka 6-18

Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umezindua zoezi la Usajili na Kutoa vyeti katika Shule za Msingi katika Manispaa ya Ilala Jijini Dar es Salaam. Zoezi hili  ni sehemu ya utekelezazji wa Mkakati wa Usajili wa Watoto walio na Umri kati ya Miaka 6-18 ( 6-18 Birth Registration Initiative) uliobuniwa ili kukabiliana na changamoto ya wananchi wengi kutosajiliwa na kuwa na vyeti vya kuzaliwa.

RITA inashirikiana na Manispaa ya Ilala kupitia Idara ya Elimu kuendesha mkakati huu.

Mkakati wa Usajili wa Watoto walio na Umri kati ya Miaka 6-18 ni endelevu kwa  wilaya nyingine za Dar es salaam,pia na wilaya za mikoa yote Tanzania.