- Tunatoa huduma ya usajili wa ndoa na talaka pamoja na kuwapatia leseni viongozi wote wa madhehebu ya dini.
- Msaada wa kisheria na huduma kuhusu kuandika na kuhifadhi Wosia
- Mkakati wa usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa Watoto wa Umri chini ya miaka Mitano(U5BRI)