Kutoka kwa Kabidhi Wasii Mkuu
Napenda kuwakaribisha wananchi wote katika tovuti yetu ambayo imeboreshwa na kutengenezwa kwa umahiri mkubwa kwa lengo la kutoa taarifa mbalimbali kuhusu kazi na shughuli zinazotekelezwa na Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini(RITA) hususani katika juhudi za kusaidia utoaji haki kwa wananchi kupitia huduma tunazotoa.
Tovuti hii ni nyenzo ya kukupatia taarifa sahihi na za kina kuhusu aina ya huduma tunazotoa, upatiakanaji wake na gharama husika kwa pamoja ikiambatana na Sheria 9 zinazoongoza majukumu ya wakala. Aidha, tovuti hii ina video, picha na machapisho mbalimbali kwa ajili ya umma na hivyo kuifanya kuwa ni miongoni mwa sehemu muhimu za marejeo kuhusu shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Wakala.
Wakala unaendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma zake kwa njia ya kidijitali ambapo kwa sasa wananchi wanatumia mfumo wa eRITA kutuma maombi ya huduma za Usajili wa Vizazi, Vifo, Ndoa na Talaka pamoja na Udhamini. Tovuti hii ni dirisha muhimu linalomuwezesha mwananchi kuingia katika mfumo wa eRITA.
Natoa wito kwa wadau wote kuendelea kutembelea mara kwa mara Tovuti yetu na kuwasihi kuwasiliana nasi kwa maoni, ushauri na ufafanuzi zaidi juu ya huduma zetu kupitia njia mbalimbali zilizoainishwa.
Tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora na kushirikiana na wadau wote katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora kwa wakati.
Bw. Frank K. Frank
Kabidhi Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu
An efficient reliable source for Civil Registration Information, Insolvency and Trusteeship services.
To safeguard rights of all by providing high quality registration of vital events, insolvency and trusteeship services and inform evidence based decision making.
Integrity, Transparency, Accountability, Efficiency, Professionalism, Collaboration and Innovation
An efficient reliable source for Civil Registration Information, Insolvency and Trusteeship services.
To safeguard rights of all by providing high quality registration of vital events, insolvency and trusteeship services and inform evidence based decision making.
Integrity, Transparency, Accountability, Efficiency, Professionalism, Collaboration and Innovation
TANZANIA NA ITALIA ZASAINI MKATABA WA SHILINGI BILIONI MOJA KUSAIDIA USAJILI WA WATOTO
Kikao cha mwaka cha Wafanyakazi wote wa RITA
Kikao cha mwaka cha Wafanyakazi wote wa RITA
Uzinduzi Mpango wa Usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa watoto wa umri chini ya miaka mitano Mkoa wa Tabora
Hakuna rekodi iliyopatikana
ANNOUNCEMENT OF THE CONTINUATION OF THE DISPOSAL AUCTION OF VEHICLES AND VARIOUS OFFICE EQUIPMENTS
ANNOUNCEMENT OF THE SUSPENSION OF THE DISPOSAL AUCTION OF VEHICLES AND VARIOUS OFFICE EQUIPMENTS
AUCTION ANNOUNCEMENT OF VEHICLES AND VARIOUS OFFICE EQUIPMENT
TANAGZO KWA WAFUNGISHAJI NDOA
TANGAZO KWA BODI ZA WADHAMINI WA TAASISI
International Women's Day is a holiday celebrated annually on March 8 as a focal point in the women's rights movement. IWD gives focus to issues such as gender equality, reproductive rights, and violence and abuse against women.
Is an annual day of celebration of the achievements of workers. It has its origins in the labour union movement, specifically the eight-hour day movement, which advocated eight hours for work, eight hours for recreation, and eight hours for rest.
Today, the Tanzanian people celebrate their Independence Day, as Tanganyika gained its independence from the British administration on December 9, 1961, as Zanzibar province gained independence, then Tanganyika and Zanzibar united together to
To safeguard rights of all by providing high quality registration of vital events, insolvency and trusteeship
To safeguard rights of all by providing high quality registration of vital events, insolvency and trusteeship
Consultancy and development The opportunity for professional training & director development
Consultancy and development The opportunity for professional training & director development
Simply dial our short code to instantly view the progress of your application, receive real-time updates, and stay informed on the go—quick, easy, and accessible anytime, anywhere.