RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
Viwango vya utoaji huduma, ambavyo tunaamini wadau wetu wanayo haki ya kuyatarajia, na kuelezea mifumo ya kushughulikia malalamiko na maoni endapo mambo yatakwenda kombo.