Tarehe 21 Machi 2017, RITA inategemea kuanza utekelezaji wa Mpango wa Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa katika wilaya zote Wilaya tatu (3) zilizo na halmashauri 6 za Mkoa wa Shinyanga na Wilaya zote tano (5) zilizo na Halmashauri sita (6).
IJULIKANE KWAMBA kwa mujibu wa Sheria ya Muunganisho wa Wadhamini Sura ya 318 toleo la 2002 Kifungu cha 23(1) (d) NIMERIDHIKA kwamba Asasi /Taasisi zilizotajwa hapo juu zimeshindwa kutekeleza majukumu na wajibu wao kwa kushindwa kutoa taarifa ya mabadilik