Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) unategemea kuanza rasmi mkakati wa kuwasajili na kuwapa vyeti vya kuzaliwa wanafunzi wa shule za Msingi za Manispaa ya kinondoni Ijumaa wiki hii ambapo mpango huu utatekelezwa katika shule 140 zenye wanafuzi w