Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Baraza la Wafanyakazi 2016

Description: Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof, Sifuni Mchome akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi katika ufunguzi wa kikao cha 17 kilichoanza leo Jijini Dar es salaam, Kulia kwake ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Bi Emmy Hudson, na kushoto kwake ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi Bw August Mbuya.

Album Pictures