Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Mhe Waziri Dkt Mwakyembe

Description: Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe Dkt Harrison Mwakyembe akipokea taarifa ya mrejesho wa uhakiki na ukaguzi wa Bodi za Wadhamini za Taasisi/Asasi kutoka Ofisi ya Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) iliyosomwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu Bi Emmy Hudson wa kwanza kulia wakati wa kikao maalum na waandishi wa habari Makao Makuu Jijini Dare es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof Sifuni Mchome. Kwa habari zaidi ingia ukurasa wa Habari na Makala.

Album Pictures