Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Usajili Wanafunzi Temeke

Description: Afisa Usajili Mwandamizi kutoka RITA Bw Henry Bitegeko akitoa ufafanuzi kuhusu Mpango wa usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa Wanafunzi wa shule za Msingi Manispaa ya Temeke katika mafunzo maalumu ya kuwajengea uwezo Walimu watakaofanya usajili huo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Manispaa ya Temeke Jijini Dar es salaam, kulia kwake ni Afisa elimu Msingi Bi Silvian Ntasigwa Mwingine ni Afisa elimu Taaluma Bi Joyce Senkoro.

Album Pictures