Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           USAJILI MKOA WA SHINYANGA

Description: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe Zainab Telack akizungumza na Wakuu wa Wilaya,Wakurugenzi wa Halmashauri,Maafisa waratibu wa Usajili wa Watoto,Maafisa wa RITA pamoja na wawakilishi wa UNICEF katika kikao cha tathimini ya Mpango wa kuwapatia vyeti vya kuzaliwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano Mkoa wa Shinyanga.

Album Pictures