Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           RITA- Mrajis Zanzibar.

Description: Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Emmy Hudson amefanya mazungumzo hii leo Jijini Dar es salaam na Mrajis wa vizazi na Vifo kutoka Zanzibar Shaaban Abdallah pamoja na Mkuu wa kitengo cha usajili kutoka Mfuko wa hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Khatibu Iddi Khatibu na kukubaliana kufanya kazi kwa pamoja na kubadilishana uzoefu na taarifa mbalimbali zinazohusu usajili wa Vizazi ,Vifo,Ndoa na Talaka.

Album Pictures