Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           UZINDUZI U5BRI MARA NA SIMIYU

Description: Waziri wa Katiba na Sheria Prof Palamagamba Kabudi akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa mpango wa usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano kwa mikoa miwili ya Mara na Simiyu. Hafla ya uzinduzi imefanyika hii leo katika viwanja vya shule ya Msingi Mukendo iliyopo manispaa ya Musoma na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mara ,Simiyu, wawakilishi wa Ubalozi wa Canada, Shirika la Kuhudumia watoto Duniani (UNICEF) pamoja na Kampuni ya Mtandao wa simu za Mkononi (Tigo).

Album Pictures