Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           MAADHIMISHO YA FIMBO NYEUPE

Description: Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe.Stella Ikupa akipata maelekezo kuhusu huduma za Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kutoka kwa Wakili wa Serikali, Bw. Silvius Rwechungura katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Fimbo Nyeupe yaliyofanyika mnamo tarehe 24 Oktoba 2019 kitaifa mkoani Kigoma katika viwanja vya Mwanga Community Centre.

Album Pictures