Description:
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme ametoa maagizo kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa huo kuanza uhamasishaji na utoaji elimu kwa wananchi kuelekea utekelezaji wa mpango wa usajili kwa watoto walio na umri chini ya miaka mitano.