Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           KAMPENI YA ONE STOP JAWABU

Description: Kaimu Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Emmy Hudson hii leo ametembelea na kukagua zoezi la usajili na kuwapatia wananchi vyeti vya kuzaliwa kwenye kampeni ya one stop Jawabu inayotamatishwa katika viwanja vya Mbagala Zakhiem ambapo kesho kutwa tarehe 22 Septemba, 2020 kampeni hiyo itahamia katika viwanja vya Mwembe Yanga Manispaa ya Temeke Jijini Dar es salaam.

Album Pictures