Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           WIKI YA MSAADA WA KISHERIA

Description: RITA YASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA. Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), umeshiriki katika sherehe za maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria zilizofanyika kitaifa mkoani Tanga katika viwanja vya Tangamano. Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu kanda ya Tanga, Mhe. Amir R. Mruma. Kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo katika maadhimisho hayo, RITA itatoa msaada wa kisheria kuhusu masuala ya Wosia, Mirathi, Ndoa na Talaka pamoja na Udhamini kwa wananchi wa wilaya ya Korogwe. Kauli mbiu katika maadhimisho hayo ni "Usimamizi bora wa Mirathi kwa maendeleo ya familia".

Album Pictures