Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA

Description: Mhe. Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hasani leo tarehe 24/01/2021 katika Ufunguzi wa Maadhimisho ya kumbukumbu ya Miaka 100 ya mahakama Kuu Jijini Dodoma. RITA Kama Wadau wa Sheria Wameshiriki Katika Maadhimisho hayo ambayo yanaendelea Kitaifa jijini Dodoma Katika viwanja vya Nyerere Square na Dar Es salam kwenye viwanja Vya mnazi Mmoja ambapo kwa upande wa Dar es Salaam mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa mkoa, Bw. Abubakar Kunenge. Huduma zinazotolewa katika banda la RITA kwa upande wa Dodoma na Dar es Salaam ni ; Usajili wa vyeti vya kuzaliwa, Msaada wa kisheria kuhusu masuala ya Wosia na Mirathi pamoja na elimu kwa umma kuhusu Ndoa, Talaka, Udhamini na huduma ya Ufilisi.

Album Pictures