Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           HAKI MIRATHI WILAYA YA TEMEKE

Description: Wakala wa usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) na Mahakama kwa kushirikiana na ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke imezindua kampeni inayojulikana kwa jina la Haki Mirathi yenye lengo la kutoa elimu kwa jamii kuhusu sheria na taratibu zinazohusu kuandika na kuhifadhi wosia pamoja na mambo ya mirathi. Akizungumza hii leo Jijini Dar es salaam wakati wa ufunguzi wa kampeni hiyo Jaji Mfawidhi Mhe. Lameck Mlacha amesema uelewa mdogo kuhusu sheria na taratibu za kufungua na kufunga mashauri ya mirathi sambamba na kuongezeka kwa matapeli wanaotumia mwanya huo kujitokeza kutoa msaada kwa ndugu wa marehemu na kufikia hatua ya kujimilikisha mali kinyume na warithi halali.

Album Pictures