Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Ukaguzi wa usajili Tabora

Description: Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Angela Anatory ametembelea na kukagua vituo vya tiba vinavyotoa huduma ya mama na mtoto na Ofisi za Watendaji Kata ambapo zoezi la usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa linafanyika, pia amezungumza na Wananchi waliofika kupatiwa huduma katika vituo hivyo hii leo Mkoani Tabora.

Album Pictures