Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Hitimisho Mafunzo 2022

Description: Watumishi wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) wanatakiwa kufahamu vipaombele vya Taasisi kupitia Mpango Mkakati wa Wakala ambao unabainisha mwelekeo wapi Taasisi ilikotoka, ilipo sasa na inapoelekea. Hayo yamesemwa na Kabidhi Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu Bi. Angela Anatory wakati wa kuhitimisha kikao na mafunzo ya siku mbili kwa Wafanyakazi yaliyofanyika tarehe 18-19 Juni,2022 katika ofisi za RITA Makao Makuu Jijini Dar es salaam.

Album Pictures