Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           CRVS Day Afrika 2022

Description: Tanzania hii leo tarehe 10 Agasti, 2022 imeungana na Mataifa mengine Barani Afrika kuadhimisha siku ya Usajili wa matukio muhimu ya Binadamu na Takwimu, ambayo ni Vizazi,Vifo na sababu zake, ndoa, talaka na watoto wa kuasili.Mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro.tukio hilo limefanyika katika Viwanja vya sgule ya Msingi Gongolamboto Jijini Dar es salaam.

Album Pictures