Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Menejimenti RITA na Wizara

Description: Naibu waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geophrey Mizengo Pinda amewataka watumishi kuheshimu na kuzingatia Sheria za utumishi wa Umma sambamba na kuheshimiana kila mmoja wakati wa utekelezaji wa majukumu ya kila siku.hayo ameyasema tarehe 6 Septemba,2022 Jijini Arusha katika kikao kazi cha Wizara na Menejimenti ya RITA.

Album Pictures