Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Tume Haki za Binadamu 2022

Description: Waziri was Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Ndumbaro ameiagiza RITA kuhakikisha wanatumia fursa za maonesho mbalimbali na programu za kuwafuata Wananchi sehemu wanakoishi ili kuwapatia huduma badala ya kuwasubiri ofisini. Amesema hayo wakati alipotembelea banda la RITA katika maadhimisho ya Miaka 20 ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Jijini Dodoma.

Album Pictures