Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           KIKAO CHA MAWAKILI WA SERIKALI

Description: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua rasmi kikao kazi cha mwaka na kuzindua Chama cha Mawakili wa Serikali leo tarehe 29 Septemba,2022 Jijini Dodoma. Mawakili kutoka RITA wameshiriki kikao hicho huku Wakala ukitoa huduma ya usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa, msaada wa kisheria kuhusu kuandika na kuhifadhi Wosia na Mirathi pamoja na elimu kwa umma kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na RITA.

Album Pictures