Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Baraza la Wafanyakazi kikao 26

Description: Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewataka watumishi wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kuacha uzembe, uvivu na wachape kazi Kwa bidii na ubunifu ili kuharakisha kasi ya utoaji wa huduma kwa Wananchi. ameyasema hayo leo Disemba 21, 2022 Jijini Arusha wakati akifungua kikao Cha 26 cha Baraza la Wafanyakazi RITA.

Album Pictures