Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Nanenane Mbeya 2023

Description: Kabidhi Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Bw Frank Kanyusi amekabidhi Vyeti vya Kuzaliwa kwa wananchi mbali mbali kujitokeza na kupatiwa huduma ya usajili na kupatiwa vyeti vya Kuzaliwa kwenye Maonesho ya Nane Nane Yanayoendelea Kwenye Viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya.

Album Pictures