Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           KIKAO USAJILI WATOTO KIGOMA

Description: RITA yatoa semina kwa viongozi wa Wilaya na Mkoa wa Kigoma kuhusu Mpango wa Usajili Watoto, Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Kanali Michael Masala Ngayalina akimwakilisha Mkuu wa Mkoa huo. Naibu Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Irene Lesulie alifuatana na wataalam toka RITA.

Album Pictures