Kabidhi Wasii Mkuu Bw. Frank Kanyusi leo Septemba 23, 2024 Jijini Dodoma amefungua kikao kazi cha kuandaa sera ya uwajibikaji kwa jamii.
"Tumekuwa tukisaidia watu wenye uhitaji katika makundi mbalimbali bila ya sera na muongozo rasmi na hivyo kupelekea kushindwa kujipima katika uwajibikaji wetu kwa jamii kwa makundi hayo". Alisema Bw. Kanyusi
Tags : #Corporate Governance