RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
August
09
2024
RITA YASHIRIKI KAMPENI YA CHIMBO NA NMB MLIMANI CITY
News & Update
`
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini [RITA] Tunakukaribisha Chimbo la Chuo na NMB katika viwanja vya Mlimani city ambapo huduma zinaendelea mpaka 11/08/2024.
RITA Tunaendelea kutoa elimu kuhusu huduma za Wakala na jinsi ya kufanya maombi ya uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa na vifo kwa Mfumo wa kidijitali kupitia eRITA.
View Full Page