List of transfered institutions to the NGOs registrar
Marudio ya tangazo la uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa na vifo kwa wanafunzi wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2019/2020.
KUANZA KWA ZOEZI LA UHAKIKI WA BODI ZA WADHAMINI
Maombi yasiyokuwa na upungufu 2018
Serikali imedhamiria kuboresha Mfumo wa usajili wa vizazi, vifo na sababu zake, ndoa na talaka kupitia Mkakati wa kitaifa wa usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu na Takwimu unaojulikana kama ( National Civil Registration and Vital Statistics – CRVS ï¿
ASILIMIA 97 YA WATOTO WAPATIWA VYETI VYA KUZALIWA MKOA SHINYANGA
Mpaka sasa jumla ya watoto 479,146 wamesajiliwa na kupewa vyeti vya kuzaliwa ambapo kati ya hao watoto 230151 wamesajiliwa katika Mkoa wa Shinyanga ambao ni sawa na asilimia 71 ya lengo na Mkoa wa Geita 249,000 ambao ni asilimia 60 ya watoto wote wasio na