BODI YA USHAURI YA WIZARA (MAB)
Majukumu ya Bodi ya ushauri ya Wizara (MAB)
Bodi ya Ushauri ya Wizara ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa sheria kwa ajili ya kumshauri Waziri kuhusu utekelezaji wa majukumu ya wakala.Bodi ya Ushauri ya Wizara itatoa ushauri kwa Waziri juu ya mambo yafuatayo: