RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
`
eRITA Huduma

Registration Insolvency and Trusteeship Agency (RITA), would like to inform the public that you can now apply for the following services online:

MFUMO WA USAJILI WA KUZALIWA NA KIFO
HUDUMA ZA USAJILI WA KUZALIWA NA KIFO

Huduma zinazopatikana kidigitali:

1 Cheti cha Kuzaliwa
2 Cheti cha kuzaliwa cha zamani kwenda kipya
3 Uhakiki wa cheti cha Kuzaliwa
4 Cheti cha Kifo
5 Cheti cha kifo cha zamani kwenda kipya
6 Uhakiki wa cheti cha Kifo
MFUMO WA USIMAMIZI WA NDOA NA TALAKA

Huduma zinazopatikana kidigitali:

1 Maombi ya leseni ya kufungisha ndoa
2 Maombi ya Shahada ya kufungisha ndoa
3 Kupata kibali cha kufunga ndoa ndani ya siku 7
4 Kupata cheti cha kutokuwa na kipingamizi cha ndoa
5 Kusajili ndoa inayodumu iliyokuwa haijasajiliwa
6 Kibali cha kufunga ndoa mahali maalum
7 Kusajili Ndoa
8 Kusajili ndoa iliyofungwa nje ya nchi
9 Kusajili Talaka
10 Kusajili Talaka iliyotolewa nje ya nchi
11 Pakua Programu ya Ndoa & Talaka
Download App
MFUMO WA USIMAMIZI WA WADHAMINI
HUDUMA ZA KUANZISHA WADHAMINI

The following are the services available online:

1 Usajili wa Wadhamini
2 Mabadiliko ya Wadhamini
3 Mabadiliko ya Katiba
4 Mabadiliko ya Anuani
5 Mabadiliko ya Jina la Usajili wa Wadhamini
6 Maombi ya Taarifa
7 Maombi ya Kibali cha Kumiliki Mali
8 Maombi ya Kibali cha Kumiliki Viwanja/Vitalu Vinavyofuatana katika kitalu kimoja
9 Maombi ya Kibali cha Kuweka Rehani Mali ya Taasisi
10 Maombi ya Kibali cha Kuwekeza
11 Maombi ya Kibali cha Kugawa Ardhi
12 Maombi ya Kibali cha Kuuza/Kuhamisha umiliki wa Mali
13 Marejesho ya Wadhamini
14 Ukaguzi
15 Ukomo wa Usajili wa Udhamini
16 Utafutaji wa Jina la Bodi
17 Uhakiki wa Taarifa
18 Nakala na Uthibitishaji
19 Kuripoti Migogoro
20 Mafunzo
21 Kuhuisha Taarifa za Udhamini
Ona Ukurasa Kamili
Washirika wetu
Wadau Wetu