BEI HUDUMA ZA USAJILI WA VIZAZI
NA | HUDUMA | ADA/GHARAMA |
1 | Ada ya Upekuzi | 3,000 |
2 | Kizazi kinachoandikishwa chini ya miaka kumi | 8,000 |
3 | Kizazi kinachoandikishwa baada ya miaka kumi | 20,000 |
4 | Kufanya masahihisho ya cheti cha kuzaliwa | 13,000 |
5 | Kupata nakala ya cheti kilichopotea | 7,000 |
6 | Uhakiki wa Cheti | 6,000 |
BEI HUDUMA ZA USAJILI WA NDOA
NA | AINA YA HUDUMA | ADA/GHARAMA (TZS) |
1 | Cheti cha Ndoa cha Msajili Mkuu wa Ndoa | 40,000/= |
2 | Cheti cha Ndoa ambayo haijawahi kuandikishwa (Subsisting Marriage) | 40,000/= |
3 | Cheti cha ndoa iliyofungwa nje ya nchi (Foreign Marriage) | 200,000/= |
4 | Cheti cha Talaka | 40,000/= |
5 | Cheti cha Talaka iliyotolewa nje ya nchi | 200,000/= |
6 | Leseni ya kufunga ndoa mahali maalum | 200,000/= |
7 | Shahada ya kutokuwepo pingamizi (Certificate of No Impediment) | 300,000/= |
8 | Barua ya kutokuoa/kutokuolewa | 200,000/= |
9 | Uthibitisho wa Cheti cha Ndoa au Talaka | 40,000/= |
10 | Ada ya upekuzi katika daftari la Ndoa/Talaka | 50,000/= |
11 | Kuandikisha uthibitisho wa ndoa iliyobadilishwa kuwa ya mke mmoja au ya wake wengi | 40,000/= |
12 | Marekebisho katika cheti cha ndoa na talaka Ada ya Upekuzi Ada ya Marekebisho Ada ya Cheti cha Msajili wa ndoa na talaka
|
40,000/=
50,000/=
|
13 | Leseni ya Kufungisha Ndoa | 60,000/= |
14 | Ndoa ya haraka | 200,000/=
|
15 | Ada ya ruhusa ya kufungisha Ndoa mahali maalum kwa mgonjwa
| 20,000/= |
16 | Ndoa ya Serikali ya kutangaza siku 21
| 100,000/= |
17
| Shahada ya ndoa zinazotolewa kwa wasajili wa wilaya na viongozi wa dini:- Shahada 10
|
200,000/= |