KUKANUSHA TAARIFA KUHUSU RITA KUSAJILI BODI MPYA YA WADHAMINI WA CHAMA CHA WANANCHI (CUF)
Kabidhi Wasii Mkuu Bw. Frank Kanyusi leo Septemba 15, 2025 amefanya kikao na wadau jijini Arusha kujadili na kupitia upya huduma za wakala kwa lengo la kuziboresha.