RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
MEDIA CENTRE
Album Detail
March
13
2025
MKUTANO WA WAJUMBE WA BODI ZA WADHAMINI
News Update
Dar es Salaam



`
Waziri wa Sheria na Katiba, Dkt. Damas Ndumbaro amewaonya baadhi ya viongozi wa Bodi za wadhamini wa taasisi za kidini, vyama vya siasa na vyama vya michezo kwa ubadhirifu na matumizi mabaya na kujimilikisha mali za taasisi hizo kinyume na sheria.

View Full Page