Swahili   |   English
MKAKATI WA KUTOA VYETI BURE KWA WATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO UMEZINDULIWA RASMI MKOA WA MWANZA
Date: 30 June, 2015 Author: Jafari Malema

Mkuu wa wilaya ya Sengerema Mhe Zainab Rajabu Telack akiwahutubia Wananchi waliojitokeza katika Sherehe za uzinduzi wa Mkakati wa Uasajili na kutoa Vyeti vya kuzaliwa bure kwa Watoto wenye Umri chini ya miaka Mitano kwa kifupi (U5BRI) hafla iliyofanyika

Mkuu wa wilaya ya Sengerema Mhe Zainab Rajabu Telack akiwahutubia Wananchi waliojitokeza katika  Sherehe za uzinduzi wa Mkakati wa Uasajili na kutoa Vyeti vya kuzaliwa bure  kwa Watoto wenye Umri chini ya miaka Mitano kwa kifupi (U5BRI) hafla iliyofanyika katika viwanja vya Kituo cha Afya Project wilayani Sengerema.