Swahili   |   English
Gharama za usajili

 

BEI HUDUMA ZA USAJILI WA VIZAZI

NA

HUDUMA

ADA/GHARAMA

1

Ada ya Upekuzi

3,000

2

Kizazi kinachoandikishwa chini ya miaka kumi

8,000

3

Kizazi kinachoandikishwa baada ya miaka kumi

20,000

4

Kufanya masahihisho ya cheti cha kuzaliwa

13,000

5

Kupata nakala ya cheti kilichopotea

7,000

6

Uhakiki wa Cheti

6,000

 

BEI HUDUMA ZA USAJILI WA VIFO

 

NA

HUDUMA

ADA/GHARAMA

1

Ada ya Upekuzi

3,000

2

Kifo kinachoandikishwa chini ya miaka kumi

8,000

3

Kifo  kinachoandikishwa baada ya miaka kumi

20,000

4

Kufanya masahihisho ya cheti cha kifo

13,000

5

Kupata nakala ya cheti kilichopotea

7,000

6

Uhakiki wa Cheti

6,000