Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) unapenda kuwafahamisha waombaji wa Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kwa mwaka wa masomo 2018/2019 kuwa zoezi la Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa waombaji, na vyeti vya vifo vya wazazi wa waombaji nchi nz