RITA – Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar wafanya mafunzo kuhusu usimamizi wa mirathi, lengo la Mafunzo hayo ni kubadilishana uzoezfu na kukuza ushirikiano uliopo baina ya ofisi hizo hasa ukizingatia mafungamano baina ya Wananchi wa Zanzibar n