Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           VICOBA

Description: Mkuu wa kitengo cha ndoa na talaka Jane Balongo kutoka RITA akifafanua jambo wakati wa mafunzo juu ya usajili wa vizazi,vifo ndoa na talaka yaliyofanyika makao makuu ya VICOBA jijini Dar es salaam, kulia kwake ni Rais wa VICOBA Mh Devota Likokola.

Album Pictures