Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Tathimini ya Usajili Mwanza

Description: Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA, Bi Emmy Hudson akitoa hotuba kuhusu mafanikio yaliyofikiwa katika utekelezaji wa Mkakati wa Usajili wa Watoto wenye Umri chini ya Miaka Mitano (5BRI) uliozinduliwa mwezi Juni 2015 Mkoa Mwanza, Mkutano wa tathimini ya Mkakati huo unaoendelea katika Hoteli ya Gold Crest Jijini Mwanza.

Album Pictures