Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           ZIARA YA KATIBU MKUU- RITA

Description: Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Prof. Sifuni Mchome, leo ametembelea Makao Makuu ya Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa ajili ya kufunza Majukumu yanayotekelezwa na Wakala. Katika ziara hiyo aliambatana na Makatibu Wakauu wawili wa Wizara Hiyo, Bi. Suzan Mlawi na Bw. Amon Mpanju Akiwa RITA, Katibu Mkuu alipewa maelezo Kuhusu Majukumu Mbalimbali ya Wakala, mafanikio na changamoto za utekelezaji wa majukumu hayo. Pia aliweza kutembelea Vitengo mbalimbali kujionea kazi zinavyotekelezwa kwa vitendo na baada ya hapo aliongea na manejimenti ya Wakala.

Album Pictures