Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Elimu ya Wosia na Mirathi

Description: Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Fadhili Nkurlu akiwahutubia Wananchi wakati wa ufunguzi wa kampeni ya utoaji elimu na huduma ya kuandika na kutunza Wosia iliyofunguliwa wiki hii Jijini Arusha, kushoto kwake ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Bw. Daniel Machunda na kulia ni Afisa Usajili wa RITA, Bw August Mbuya.

Album Pictures