Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           MIAKA KUMI KUANZISHWA KWA RITA

Description: Miaka kumi ya kuanzishwa kwa Wakala wa usajili Ufilisi na Udhamini RITA, mnamo tarehe 23 Juni 2006 Wakala ulianzishwa. Zaidi ya Watoto 20 waliozaliwa katika Hospitali ya Amana Manispaa ya Ilala Jijini Dare esalaam siku ya kuzaliwa kwa RITA na kupatiwa vyeti vya kuzaliwa papo hapo ambapo Wataalam wetu wa mambo ya Usajili waliweka kambi kwa siku moja na kutoa huduma hiyo bure.

Album Pictures