Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Uzinduzi Usajili wa Watoto

Description: Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Dkt Harrison Mwakyembe akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa Watoto wenye Umri chini ya Miaka mitano kwa Mkoa wa Njombe na Iringa. Uzinduzi ulifanyika katika Viwanja vya Mwembetogwa Mkoani Iringa. Wengine kutoka kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa UNICEF Bi Maniza Zaman, Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Amina Masenza, Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Dkt Rehema Nchimbi na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya RITA Prof Hamisi Dihenga.

Album Pictures