Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           MAFUNZO VIFAA TIBA.

Description: Waelimisha rika wakiongozwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Bi Emmy Hudson wamepatiwa mafunzo kutoka kwa Afisa Mwitikio wa Taasisi za Umma wa TACAIDS Dkt Hafidhi Ameir jinsi ya kutumia vifaa tiba vitakavyowekwa kwa ajili ya kupimia Wafanyakazi magonjwa mbalimbali sugu yasiyoambikiza na kupewa kipaombele, mafunzo hayo yamefanyika hii leo Jijini Dar es salaam huku yakiambatana na upimaji wa afya kwa hiari kwa lengo la kujifunza zaidi kwa vitendo namna ya kutumia vifaa hivyo na kutoa ushauri ,msaada wa huduma ya kwanza pamoja na kukabiliana na magonjwa hayo mahala pa kazi.

Album Pictures