Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           USAJILI GEITA NA SHINYANGA

Description: Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Dkt Harrison Mwakyembe(MB) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mpango wa usajili wa watoto wenye umri chini ya miaka mitano kwa Mkoa wa Geita na Shinyanga,wa kwanza kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga na Wakwanza kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe Zainabu Telack wengine ni wawakilishi wa Mashirika ya Maendeleo ya kimataifa pamoja na viongozi Mbalimbali wa Dini na vyama vya Siasa.

Album Pictures