Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           TANZIA

Description: Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) anasikitika kutangaza kifo cha Mfanyakazi mwenzao Bi Winfrida Chezi Lukoa kilichotokea tarehe 10 Aprili 2017 katika Hospitali ya Hindumandal Jijini Dar es salaam baada ya kuugua ghafla akiwa kazini.

Album Pictures