Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Usajili Geita Shinyanga

Description: Mkoa wa Shinyanga na Geita huwenda ikafikia malengo kwa asilimia 100% ya usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano ndani ya kipindi cha miezi mitatu badala ya miezi sita iliyowekwa katika mikoa yote miwili. kwa sasa Watoto wenye vyeti vya kuzaliwa ni asilimia 91%

Album Pictures